Natafuta mchumba/rafiki wa kike

King708

Member
Jun 12, 2016
15
0
Habari ya leo!

Niko Dar, nafanya kazi, niko single, sina familia, najitegemea, nina miaka 34.

Natafuta mchumba mwenye kujiheshimu, anayejua anataka nini maishani mwake, aliye kwenye umri kati ya 22-41, mwenye ajira, aliyejiajiri au mwanafunzi ila mwenye misimamo yake, haijalishi kama ana mtoto.

Nachukia mademu wapiga mizinga!

Ukiwa interested tafadhali nitumie message inbox...

Ahsante!
 
#POlisijamii mwizi unaemkimbiza hajapitia huku!!!!! anyway ntafungua Na ukaguzi wako nakupa ndani ya saa 1,,,, baada ya hapo nafunga Mlango usipomkuta fidia nadai.
bado chumba kimoja muhimu kukagua naomba ruhusa yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom