Je unaweza kufanya kazi na mwanamke ambaye ulimpenda au ulipendana naye> | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unaweza kufanya kazi na mwanamke ambaye ulimpenda au ulipendana naye>

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fazaa, Apr 23, 2012.

 1. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi sina ma EX katika maisha yangu lakini kuna mwanamke niliwahi kumpenda na sijawahi kumuambia nampenda, sasa nime move katika another section na na yeye ndo kawa kama team leader wetu, sa mara nyingi sana ana ni call niende ofisini kwake...afu nikiwa naongea naye mara nyingi sana ananirembulia macho, anauma uma mdomo wake au ashike kalamu awe anaizungurusha zungurusha mdomoni kwake pale naonge anaye, yani kuna ishara nyingi sana naona kama unautaka.

  Mnasemaje wenzagu hapo ni kweli ana utaka au anataka kunizungua.

  Ok swali la pili.

  Kwa wale ambao mlikuwa mna ma EX....Can u work in the same office with ur EX.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,617
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Naona hii imekaa Kimabibo hostel hivi, ni vema nikipita tuu kupunguza hasira kwa Mods kuruhusu uhuru wa kuweka thread yeyote ilimradi hutukani:doh:
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona jibu unalo wewe unaemuona harakati zake kama anautaka au ana kubeep...
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Just don't think about it. Thinking makes you worry and worrying leads to depression. Just keep an eye out.
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,273
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  kwani nini kinazuia usifanye kazi na ex???....watu wanafanya kazi na wake zao seuse ex??
   
 6. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,199
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hii ndo crisis nyingine ya taifa letu.........vijana suala la ethics linataka kuwa janga la kitaifa
   
 7. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,280
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Kweli hili ni janga! Kama CCM
   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jibu sahihi. Gud!
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,674
  Likes Received: 907
  Trophy Points: 280
  Swali la kwanza: Huyo hakutaki bali anakupenda kama colleague wake..............

  Swali la pili: Kwa mimi inawezekana sana, tena ikiwezekana awe ni bosi wangu, ningefurahi zaidi.....................
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,466
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  jipigie pande...
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata mimi naona kabisa hanitaki kutokana na akli yangu inavyo sema, lakini huu moyo wangu nao shida unajipa hope eti ananipenda.

  Si unajua tena sisi wenginge tunapenda kabla ya kutumia akili ndo mana mwanamke akisha kuchekea tu, unasema kakupenda :A S shade:
   
 12. T

  TrueLove Senior Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi unayo, ila kufanya kazi na EX wako wala haina shida.
   
 13. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2016
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mpe dudu washa huyo
   
Loading...