Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,581
- 48,735
Haya kama kawaida, wale tusiokuwa na viburudisho tushinde hapa.
Kama wewe ni mwanaume una swali lolote kuhusu sisi wanawake uliza
mashost zangu wamewasili tena kutoa majibu.
Ila angalizo, ukiuliza kuhusu mambo ya tigo nitakufata inbox nitakupa neno baya halafu nakuignore sipendi upuuzi.
Mwisho wa maswali saa kumi na mbili na hata kina dada ulizeni wadau wamesema watajibu.
Karibuni.