Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndoa nyingi za wasomi zinavunjika na zingine zipo taabani dhoofu, leo nizungumzie kidogo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kuwa na migogoro isiyo isha, Nianze na wanawake Mara nyingi mabinti...
30 Reactions
151 Replies
16K Views
Salaam wanaJF, Nimebahatika kuishi na wasaidizi wa kazi za ndani kwa vipindi mbalimbali na kujionea maswahibu yao kama ifuatavyo. Nikiwa na umri wa miaka sita tulikuwa na dada wa kazi na kila...
10 Reactions
138 Replies
15K Views
Mungu saidia. .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu poleni na jitihada za Serikali ya awamu ya tano ya Magu kwa kubana Mianya ya kupiga madili ya kibabe. Binafsi nikiwa muathirika wa jitihada hizo madili yangu mengi yamezorota,ili kuendana na...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Leo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo...
4 Reactions
138 Replies
17K Views
Wadau nimefanya kajiutafiti, wanawake wenye makalio makubwa wana confidence compared to flat! Flat Mara avae jacket... Mara ajifunge mtandio.., we dar na joto Lote unavaa koti! Najua vi flat...
6 Reactions
149 Replies
41K Views
Hamjambo wapendwa! Ni kweli kabisa kwamba wanandoa huoana wakiwa na baadhi ya udhaifu ambao hutakiwa kubebeana ili waendelee kuishi katika furaha hata wazeeke wakiwa pamoja. Lakini wakati huo huo...
2 Reactions
166 Replies
27K Views
Pesa pesa pesa
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ukiona simu ya mumeo ina majina mengi ya kiume basi ujue ni uwongo na kwamba kumbe yale majina mengi ni ya wanawake (michepuko) yake na hivyo hivyo kwa upande wa simu ya mkeo ukikuta ina majina...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Naandika huu uzi kwa hisia ni mkasa uliomtokea huyu dada wiki Jana. Ilikua ni siku ya jumatano akamwomba Boss wake ruhusa ya siku mbili yaani Alhamisi na Ijumaa. Lengo ni kwenda jiji la mwendo...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
wadauu .sometimez uwa napasuka kichwa lakin sipati jibu point hivi hawa baadhi ya dada zetu kuwa na ndevu ni sawa au ndio mwisho wa dunia
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hapa kwenye nyumba nilipopanga tupo wapangaji wawili kama kila mtu upande wake . Miezi miwili iliyopita nilikua likizo kwa hiyo mara kwa mara nilikua nawahi kurudi nyumbani. Daah mara nyingi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku hizi imekua kawaida tu kwa wanaume kukataa mimba na kama atakubali basi ni kutegeshea tu mtoto azaliwe aone kama wanafana. Mbaya zaidi vyakula vya siku hizi na madawa ya uzazi ndio balaa...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Habarin wapendwa, Mimi nina rafiki angu wa karibu anamsongo wa mawazo nafikia point namuhurumia. Nimemfaham tangu tunasoma kidato cha tano. Tangu tunafahamiana wote hatukuwahi kuwa na uhusiano...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Imefika mahali imenibidi niingie humu huenda nitapata mawazo mbadala ya kunisaidia kuondokana na hilinipo katika ndoa yapata miaka saba sasa. Lakini hivi karibuni nimeanza kumuwaza sana mpenzi...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Mke wangu kipenzi, Watu wote wameenda nyumbani kwao , mziki umezimwa, shamrashamra zimeisha. Harusi yetu ilikua nzuri mno ila sasa imepita. Tumemaliza harusi sasa ni muda wa kujenga familia yetu...
10 Reactions
17 Replies
4K Views
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI: Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo...
14 Reactions
253 Replies
22K Views
Ambae hamjaoa kueni makini sana, ndoa za sasa ni kama till za wakala mda na saa wameswap
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kudos to all housewives. hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi? nimepima weeee pamegoma kabisa. kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress...
9 Reactions
425 Replies
28K Views
Back
Top Bottom