markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 846
Habari zenu wakuu.
Naomba ni share na ninyi niliyojionea nilivyoenda likizo yangu ya mwaka.
Kwanza kabisa likizo yangu ilikuwa na madhumuni makuu mawili
1.kuonana na mchumba Wangu ninayetarajia kufunga naye kifungo cha ndoa ya maisha
2. Kuwatembelea ndugu na jamaa.
Kwa kweli nilijikuta naingia mgogoro na nafsi yangu nakulazimika kujitafakari upya juu ya uamzi Wangu wa kuoana na mchumba Wangu.
Nisiwachoshe wakuu kiufupi wanawake wa kanda ya ziwa wamejaaliwa maumbo kwanza ni warefu na nyuma nmhuu! Ni shida.wanawake wenye Sifa hizi ndio waliozua mgogoro wa nafsi yangu.
Ilibidi tu kushikilia msimamo Wangu na mchumba Wangu kwa vile namkubali ananifaa katika maisha kwani mwanamke wa kuoa ni zaidi ya mwonekano wake kisura na umbo.
Nendeni kanda ya ziwa na nyinyi mkajionee na kujipatia wanawake wazuri