ati wanajamii kuna faida au hasara zozote za kupendwa na ndugu wa mme/mke
Swali la kijinga limeulizwa na mjinga.
Wewe unataka watu wa initiate NGONO sasa,maana itkuja kuwa SHEMEJI SHEMEJI HUKU UNAZIMA SAA.Wewe ukipatana na ndugu wa mumeo, hata mumeo anakuwa na amani. Maana ukifarakana na ndugu zake, mnakuwa mnamuweka kwenye situation mbaya zaidi, ashikilie upande upi. Ni vizuri kuishi na watu vizuri, acha tu wakwe hata watu wengine wanaokuzunguka tu
Hakuna faida wala hasara .
Hahahahahamnhhh wakwe zako i wish wakusome hapa halafu wakutazame tu usoni
Hahahahaha
Usiseme kwa sauti....
Ila bana hakuna faida wala hasara...cha muhimu ni kuheshimiana na kujua mipaka/nafasi...... mengine mbwembwe tu
Wapo.....Faida ni amani ikiwepo
kuna in laws from hell ....ukisikia wamekuja unatamani ofisi ikupe safari ya ghafla
Hahahahaha
Usiseme kwa sauti....
Ila bana hakuna faida wala hasara...cha muhimu ni kuheshimiana na kujua mipaka/nafasi...... mengine mbwembwe tu