Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,661
Hizi siku tatu hasa kuanzia siku ya Ijumaa nilikuwa mapumzikoni kidogo, baada ya kuchoshwa na kazi ngumu ya kujenga hili Taifa la Tanzania. Sasa nimekuwa nafanya mambo ya kupumzisha akili ikiwemo kusikiliza mziki. Ndipo nikaangukia wimbo mmoja umeimbwa na TMK una ujumbe mzito sana:
Wanasema kwenye chorus yao, ukicheki muda unakimbia hakuna jambo la maana ulilofanya, mfano:
1. Kwa wanaume: Muda wako unakimbia kwa kasi ya hatari sana, labda unaendea 30, 31, ... 35,... 38, 39+, lakini hujaoa, huna hela isipokuwa tu ya kula tena ya kuungaunga, huna shamba, huna kiwanja, huna nyumba, huna mchumba, huna mke wala huna mtoto, ukijicheki hivi hujui unakoelekea. Kwanza unakuwa liability (Dr. Mihogo) kwenye jamii, unazidi kudharaulika, hukopesheki maana haijulikani utarudishaje, rafiki zako kibao wanaanza kujitenga na wewe, tena wanaanza kukusema vibaya (huwa tunasema kukupublish), ndugu nao wataanza kukutenga taratibu, wazazi nao wanaanza kuwa na wasiwasi na wewe (ikiwezekana kukuchukia), kama dingi hakuwa na tabia kama zako naye anaanza kushtuka labda huenda alibambikiziwa mtoto. Akina mama kwa sababu huwa hawavumilii, unashangaa mama yako anakuropokea, "mwanangu mbona wenzako wanajenga, wanafanya maendeleo wewe huna lolote, hata kiwanja tu kimekushinda, kuoa kwenyewe imeshindikana, wewe wa kazi gani sasa". Akina mama wanapenda sana kuona mtoto wao anaoa halafu ana maisha ya kuvutia - yaani maisha fulani amazing. Ndio maana kama yupo kijijini akaja kukutembelea Dar, akirudi roho nyeupe, akiulizwa ulikuwa wapi mama? Kwa raha zake tena kwa madoido, "Nilienda kumtembelea mwanangu anayefanya kazi Dar"! Jitafakari, la sivyo ukivuka 40 lazima uwe kichaa.
2. Kwa wanawake: Muda wako unakimbia mbio kama farasi, labda unaendea 28, 29, ... 31, ..33, 34,..36, 37, 38+ , lakini wewe ni kula kulala tu, hela huna, labda vimizinga vya hapa na pale ambavyo havikufikishi popote, huna mchumba, hujaolewa, au una mchumba sugu, umeolewa ukaachika (Mungu aepushe mbali), single mother, mwelekeo wako haueleweki wala hausomeki, maisha nayo yanakupiga kiaina, umesoma lakini kazi hujapata au haieleweki, huoni dalili yoyote ya kuolewa (Kubali ukatae kuolewa ni heshima). Jitafakari na kaa mkao wa kujitegemea, yaani wewe ndio baba, wewe ndio mama, fikiria namna ya kuishi na kulea mwenyewe (kumbuka upo kwenye risk ya kupigwa mimba ukazalishwa na kuachwa, hata kuambukizwa magonjwa kama ngoma, sababu utakuwa na shauku na kila mwanaume anayejipitisha karibu na wewe, usitegemee MWANAUME akikuzalisha au kukupa mimba hata kama anakuambia atakuoa au atakusaidia kulea mtoto/watoto, ndio anamaanisha - sisi wanaume tunajua ujinga wenu, na ili kuwapata ni kuwadanganya tu maana hamna namna). Umri ukianza kukutupa kuwa makini sana kuliko wakati wa ujana wako, vinginevyo lazima uingie mkenge ambao utakufanya ujute kwa maisha yako yote yaliyobaki.
3. Kwa mwanafunzi unayesoma (hasa sekondari o-level na a-level), jitafakari sana, umepoteza muda miaka yote, kama upo o-level umeshapoteza muda miaka mitatu na nusu, kama upo a-level umeshapoteza muda mwaka na nusu, ungwe ya mwisho, yaani kuendea mtihani wa form four au form six wa taifa, duh unajikuta kichwani uko mweupe kama sega lisilokuwa na asali, matokeo ya mock yametoka umezungusha, una Div IV au III hata II (kumbuka pia watu wanapata Div I mock au mitihani mingine ya shule lakini mtihani wa mwisho "anadifferentiate constant" kwa sababu mitihani ya shule na mock mara nyingi ni ya kizembe sana). Sasa ninaposema umepoteza muda, kama ni mwanafunzi unanielewa vizuri! Tegemea miujiza kufaulu, na pia elewa kufaulu au kufeli mtihani wa taifa, ndio msingi wa kujenga au kuharibu maisha yako. Utashangaa wakati wa mtihani kila swali halisogei (hasa wazee wa nyanga - maths, physcis, chem, bio, etc - PCM, PCB, EGM, etc.,), na kama hujawahi kupiga bao bila kuwa na ashiki, hapa ndio utapiga bao za hatari, maana unajikuta umekwaruza karatasi tu, umeandika namba za maswali, hakuna swali hata moja umesolve, ohoo, kushtuka msimamizi anatangaza "Five minutes left", utatamani umrukie, lakini wakati huohuo utapiga bao mfululizo kama tatu au zaidi kwa interval ndogo kama speed ya mwanga - uwe msichana au mvulana, shauri yako.
Ambaye hajanielewa, atautafuta uzi siku za usoni ili kujiridhisha na yatakayomtokea.
Source: