Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Nauliza je kuna haja ya kuendelea kupina UKIMWI hata baada ya kupima katika zile nyakati za mwanzoni mwa uhusiano au kwakuwa wapenzi walisha pima wakati wa mwanzo wa uhusiano wao...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wengi wanaotafuta wachumba humu huwa wanaweka na vigezo vya mwanaume wanae mtaka lakini huwa wanasahau kuweka na sifa zao zingine kama: mimi mchafu, mimi goigoi, mimi gume gume, mimi mgomvi, mimi...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Habarini wana JF, Hivi tatizo la kuwa na hasira mara kwa mara na kuwachukia baadhi ya watu na hata ndugu wa karibu bila sababu yoyote tatizo huwa ni nini na ni kipi cha kufanya kuepukana na hii...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Habarini za weekend wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya njema.. Ni hivi mimi nina mpenzi wangu tuna miaka minne sasa toka tuanze mahusiano yetu na kama ilivyo kawaida mkiwa kwenye mahusiano...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Habari JF, Mwaka 2014 nilikuwa na uhusiano ni binti kwa muda mfupi kama wiki mbili hivi.Kuna siku alinipigia simu akaniambia hajapata hedhi na ameamua kupima majibu yanaonyesha ni mjamzito. Mimi...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Nimekuwa nikiangalia sana mitindo ya mavazi hasa ya kina dada na kina mama. Mitindo ya nywele, mavazi, viatu, mapambo (acessories) na kadhalika. Pia nimekuwa nikisikiliza maoni na sababu zao za...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Kwa uchunguzi wangu mdogo nliofanya, nimegundua kuwa wakaka wengi wanaovaa kisharobaro, eg juu kidugu plus waves, cheni za gold shingoni jeans, na supra au airforce mguuni huwa ni nadhifu kwa nje...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Wandugu, Acha nitoe yangu ya moyoni hapa kama kuna mtu atakereka basi aniwiye radhi, kuna issue huwa inanikera kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile FB, hivi nini maana yake kutwa mtu...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Jamani hvi ni Sawa mwanaume anapotaka kuoa kuchangiwa mahari (SOLOSA AU MAGOHA kwa kibena na kihehe na watu au jamii sasa imekuwa fashion kijijini kwetu na ambapo ukiwachangia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari....mimi ni kijana nina watoto watatu...Kwa bahati mbaya au nzuri nilishindwana na mwenzangu nikabaki na watoto.Kinachonishangaza wakati naendelea kulea watoto wangu naona idadi ya wadada...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa na mwanangu nilimpeleka kutahili huyo mwanangu ni mwenye miaka sita lakini madaktari wakaniambia wamekatazwa kutahiri watoto wenye miaka chini ya kumi. Nilipouliza sababu za hasa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Imenigusa sana hii Alichosema mama kwa Kijana wake wa kiume siku moja kabla ya kufunga ndoa. Mummy’s man! Wewe sasa ni mwanaume. Kuanzia kesho utakuwa na mwanamke mwigine wa maisha yako. Mpishi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
I have Been seeing this lady for 1 year now. She is a very beautiful Lady and we love each other so much. But something disturbs me so much. She has a Tattoo of her EX Boyfriend on her Butt...
9 Reactions
64 Replies
7K Views
Habarini wana jamvi,namshukuru Mungu TCRA wamenikosa, na pia siwazi sana maana simu feki zimeletwa na mchina na bahati mzuri hata huo mtambo wa kuzimia simu umeletwa na mchina, kwahiyo naamini...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepanga maeneo ya uswazi fulani nyumba ina vyumba vinne na maliwato mawili kwa upande wa wapangaji ila mwenye nyumba ana choo chake ndani. Kilichotokea sijui, narudi zangu kwenye harakati za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
NDOA SIO UTANI, SOMA STORY HII. "Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu. "Mke wangu amekufa? Nini kimetokea? Amekufaje?" Daniel aliuliza huku...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Weekend hii iliyopita niliamua kushinda nyumbani tu, coz Friday nilikula pombe mingi sana, so nikasema wacha nibaki home tu, watching movies, playing with my kids etc at least to show my wife...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Sijui nina bahati mbaya au vipi? Ninao marafiki wengi kiaina from primary school ,O level, A level, college, church, ndugu, majirani, past relationships etc. Huwa najitahidi kuishi nao vizuri...
22 Reactions
292 Replies
34K Views
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
0 Reactions
109 Replies
39K Views
KWA WABABA Nimeombwa ushauri na kukoleza. Inawezekana hii ikakugusa wewe na huenda hujawahi kutafakari ama umechukulia poa na hasa kama dhahiri mtoto amefanana na mama. Inatokea kuna baadhi ya...
2 Reactions
121 Replies
14K Views
Back
Top Bottom