Dawa au chakula ipi ambayo inaleta nyege

dtf

Senior Member
Oct 7, 2013
121
12
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
 
Aangalie porn tu,halaf mtengeneze chai uwe unaweka tangawiz,pia mboga uwe unawekea pili pili,jitahid kutumia viungo hivi
 
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani

mpe tangawizi nyingi, na kila siku juice ya tikiti, ila tikiti usiongeze maji wala sukari, lisage lenyewe kama lilivyo
 
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani

Maelezo ya kina yanahitajika hapa, je ni ya kupepea? Au umri wake ni miaka mingapi? Si vibaya ukitueleza na medical back ground yake labda ana maradhi yanamsumbuwa.

Mimi binafsi nyege zangu zina ushirikiano mkubwa sana na wallet, kama wallet liko chali hiyo papuchi sina hata hamu ya kuiona.
 
au nimesema vibaya?
kama mumeo akikuona hapandishi maana yake nini?
ana tatizo la kiafya? labda angetuambia kama mumewe ni mgonjwa. kama ni mgonjwa basi angehamishia kule JF doctors ili apate msaada wa kitaalamu. huku tunazungumzia mivuto
 
Maelezo ya kina yanahitajika hapa, je ni ya kupepea? Au umri wake ni miaka mingapi? Si vibaya ukitueleza na medical back ground yake labda ana maradhi yanamsumbuwa.

Mimi binafsi nyege zangu zina ushirikiano mkubwa sana na wallet, kama wallet liko chali hiyo papuchi sina hata hamu ya kuiona.

Dah... We mkali, uhusiano wa genye na wallet??? :doh:
 
Kaka mkubwa MziziMkavu njoo usaidie jamii inaangamia.asali ya nyuki wadogo na wale nyuki wasimbe wanaopatika katika vichuguu vitamhusu
 
Last edited by a moderator:
Maelezo ya kina yanahitajika hapa, je ni ya kupepea? Au umri wake ni miaka mingapi? Si vibaya ukitueleza na medical back ground yake labda ana maradhi yanamsumbuwa.

Mimi binafsi nyege zangu zina ushirikiano mkubwa sana na wallet, kama wallet liko chali hiyo papuchi sina hata hamu ya kuiona.
Kuna mdau alisema wallet ikiwa empty wanaume wanaingia period!!!!!
Mtoa mada omba ipelekwe jf Doctors kina MziziMkavu wakakushauri matumizi ya mdalasini na juice ya komamanga.
Kama mumeo ana maradhi funguka pia waone uhusiano wa maradhi hayo na hali aliyonayo.
Pole.
 
ha haaa, umeona eeehhh!
haya mambo ya kuleta nyuzi zenye maelezo nusu nusu unaishiwa kupata ushauri kama wa kwa mganga wa kienyeji. angesema kuwa mumewe ana matatizo ya afya. mimi siyo mwanaume, lakini najua kwa maelezo ya wanaume kuwa akiwa na mwanamke ambaye hamvutii anapata shida sana kusimamisha antena
 
Back
Top Bottom