pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,641
- 6,267
Wengi wanaotafuta wachumba humu huwa wanaweka na vigezo vya mwanaume wanae mtaka lakini huwa wanasahau kuweka na sifa zao zingine kama: mimi mchafu, mimi goigoi, mimi gume gume, mimi mgomvi, mimi nikitabasam ni Kama nalia. Muwe mnatoa na upande wa tabia zenu ili kama mtu anakuja pm ajue anakwenda kwa stephane Mc Mahon Yaani makofi nje nje.