ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Juzi nilikuwa na mwanangu nilimpeleka kutahili huyo mwanangu ni mwenye miaka sita lakini madaktari wakaniambia wamekatazwa kutahiri watoto wenye miaka chini ya kumi.
Nilipouliza sababu za hasa serikali kutoa waraka huo sikupata majibu.
Ninachohisi labda wamepokea malalamiko ya MMU ya miaka mingi yanayowafanya wanawake walalamike humu MMU juu ya tatizo la wanaume wengi wa Tanzania kuwa na vibamia.
Kama kuna mtu yeyote anayefahamu sababu za kisayansi azibainishe hapa , maana wengi wanahisi serikali imeamua kupambana na vibamia.