mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Jamani hvi ni Sawa mwanaume anapotaka kuoa kuchangiwa mahari (SOLOSA AU MAGOHA kwa kibena na kihehe na watu au jamii sasa imekuwa fashion kijijini kwetu na ambapo ukiwachangia vijana4*10000=40000kwa wiki kwa mwz 40000*4=160000, na vile vile gharama za kumsindikiza anapoenda kutoa mahari. Kwa matukio hyo mtu unaweza kujikuta unakuwa maskini kwa nini vijana watu wasichangishane ili kupata fedha ya kuwasomeshea watoto. NAOMBA KUWASILISHA.