Maisha ya maigizo yapo sana mitaani. Kwa mfano unakuta mtu yupo radhi anunue simu ya milioni moja ili tu aonekane na yeye ni class la juu. Au anunue gari ili watu wamuone ana gari, cha ajabu...
Habari rafiki
najitahidi sana kuamini kuwa wanaume ni wazuri ila kila kukicha naona hawa viumbe ni wanyanyasaji, wabinafsi, hawana utu, wauwaji, wabakaji, wanyaganyi, wauwaji, roho mbaya...
Tuna mahusiano ya mwezi 1, nilikutana naye nilivyokwenda kumtembekea classmate wangu ofisini kwake, sasa juzi alhamis nikaanda kalaki, nikasema tutoke.
Tukakaa sehemu sehemu tukapiga vyetu...
Habari zenu wana Jf,
Ni moja ya rafiki zangu ni kijana mkimya, mpole, mcha Mungu, ana heshima na mpiganaji katika kutafuta maendeleo, katika pilika pilika zake Mungu akampa binti mzuri, mpole...
Kumekua na hii tabia ya baadhi ya wanawake kupenda kuomba hela kutoka kwa wapenzi wao, huwa najiuliza tatizo ni nini?
Wao wanahisi sisi wanaume tunapata wapi hizo hela wanakoshidwa wao...
Habari wanaJamiiforums,
Kichwa cha habari cha jieleza.
Leo nataka kuwakumbusha ninyi wanaume wa dot.com na wazamani msiojitambua bado na kulalama lalama tu, unakuta mwanaume amekaa kabisa...
Habari zenu wana JF,
Hali ya hewa leo duh! na waume zetu wa Dar es salaaam waoga baridi kama nini? utasikia leo "baby njoo basi unaona hali ya hewa" ukikataa leo na weekend hii kibuti kinakuhusu...
Natambua uwepo wako humu ndani ya JF,
Soma tuu maana hamna jinsi asome!
Tumekuwa nae kwenye uhusiano hadi kufikia kutambulishana kwa wazazi, Mungu si athumani akapata ufadhili nchi za wenzetu...
Mama huyo anasema alitamani message hiyo iwe kama mpira ili aione airukie na kuishika isiende maana ile ame-press send button ndo akagundua alikuwa anamtumia mume wake na si hawara yake kama...
Leo kuna jamaaa alikuwa anamsumbua wife kiufupi hajui kujieleza manake yeye mara amwambie anataka amtoe out weekend hii, sasa tena anamtaka aende night club muda huu wa usiku so wife kaniambia...
Wadau,
Jumapili iliyopita niliamua niende bar moja hapa maeneo ya Kimara Korogwe, kwasababu situmii pombe, niliagiza grand malt ya baridi nikawa nainywa, katika bar hii kuna mfanyakazi mmoja...
Habari zenu wadau,
Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye...
Maisha ya maigizo yapo sana mitaani. Kwa mfano unakuta mtu yupo radhi anunue simu ya milioni moja ili tu aonekane na yeye ni class la juu. Au anunue gari ili watu wamuone ana gari,cha ajabu...
Leo ni siku ya wababa duniani. Baba ni nguzo muhimu sana kwenye familia naamini mlio wengi mmefanikiwa kwa baba zenu kuwa bega kwa bega na nyie. Pale ulipokosea baba alikuchapa ili akili ikae...
Kama ukifuatilia sana wenzetu wazungu waarabu wakorea, China nk huwa wanavutiwa sana na mwanamke mwembamba huwa hawavutiwi na matukunyema kabisa, hata kwa mwanamke wa mbele huwa hawapendi mwanaume...
Salama wakuu.
Leo nimepigiwa simu na mwanaume mwenzangu akilia kuwa natembea na mke wake.Sio mara ya kwanza kupigiwa simu na wanaume wenzangu kuhusu mimi kutembea na wanawake zao ila huyu...
Nimeuliza hivyo ili kama kuna majibu ya kitaalamu watu tujuzane maana isije kuwa na madhara kufanya mara nyingi zaidi mathalani tufanye kila siku.
Jambo jingine la ziada ninavyoamini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.