Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,580
- 48,733
Sijui nina bahati mbaya au vipi?
Ninao marafiki wengi kiaina from primary school ,O level, A level, college, church, ndugu, majirani, past relationships etc. Huwa najitahidi kuishi nao vizuri.
Mimi ni mwanadamu wa kawaida, nina mapungufu yangu pia lakini msema kweli mpenzi wa Mungu (in Magufuli's voice) mimi sio mchoyo labda wa papuchi kiaina, lakini huwa najitahidi kusaidiana na mtu yoyote wa karibu kama ana shida. Msaada ambao upo kwenye uwezo wangu mimi huwa natoa tu.
Tatizo bwana mimi siku nina shida, daaah yaani hata nimuombe nani anisaidie kila mtu atapangua tu hata kama namkopa hela ndogo.
Nakumbuka mwaka jana nilitakiwa kwenye interview DSM sikuwa na hela yoyote, nilikuwa Arusha. Kuna binamu yangu alishawahi kupata shida kidogo afe, Mungu shahidi nilimpa millioni moja na elf 25 hadi leo hajawahi kunipa. Nikamuomba aniazime elfu 50 akaniambia poa.
Kwa vile namuamini sikuhangaika kutafuta kwingine akasema atanitumia asubuhi. Ilikuwa J'tano interview Ijumaa it means nisafiri Alhamisi Ijumaa niwe DSM. Alhamisi nikaenda stendi asubuhi maana aliniambia nisubirie M pesa wafungue, nikatangulia stend maana hata saa tano magari ya Dar yapo. Nikasubiri wee, dah saa tano hivi nikapokea M-Pesa katuma elf 19. Ikabidi tu nirudi nyumbani!
Story ni nyingi yaani hata nikiandika machozi yataniishia. Mungu ni mwema lakini!
Issue sasa kila wakati lazima ukute katika hao marafiki zangu kuna mtu ananiomba nimpe hela, mkopo, msaada etc. Kutoa ni moyo sio utajiri mimi sina kitu ila moyo wa kutoa huwa ninao.
Yaani sasa hivi namshukuru Mungu sitoi tena, kwanza sina, pia wao hawanipi, ila ninaumia sana sana kwanini mimi hakuna mtu ambae huwa ananijali?
Kumkopa rafiki ni jambo la kawaida, kwanini huwa sometimes nafulia hadi nalala njaaa wakati watu ninao? Why me? Mbona mimi huwa najali wengine?