Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,745
Wandugu,
Acha nitoe yangu ya moyoni hapa kama kuna mtu atakereka basi aniwiye radhi, kuna issue huwa inanikera kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile FB, hivi nini maana yake kutwa mtu kutuma mipicha yako hata kwa matukio ambayo hayana mashiko?
Huwa kwakweli nawachukulia tofauti watu wa dizaini hii wanaopenda kujiadvertise mnoo kule, maana kama binti basi ujue lazima atakuwa yupo kibiashara zaidi hakuna lingine, sasa je kwa wanaume na wao hii imekaaje?
Mtu kutwa kujipost kah! Mara nyingi nikiona mtu anaendekeza hizo habari mara nyingi nawaunfriend tu hata kama ni ndugu yangu au rafiki wa karibu.
Hebu tujibehave jamani maana mke wa mtu naye kutwa kujipost mara kajibinua hivi mara vile daaah! Mwishoye watu sasa uvumilivu utatushinda tujikute tumetangaza nia buree, tukijua labda una maana nyingine.
Kazi njema.