Habari....mimi ni kijana nina watoto watatu...Kwa bahati mbaya au nzuri nilishindwana na mwenzangu nikabaki na watoto.Kinachonishangaza wakati naendelea kulea watoto wangu naona idadi ya wadada wanaonitongoza inaongezeka.Mpaka sasa wanaoniomba niwaoe hawapungui 17 Na wengine wanajua nina watoto ila wanaonekana hawajali...Ni kitu gani hii?kuna upendo kweli hapa kwangu na kwa watoto wangu au wanaangalia mtonyo na mali?