Habari wana JF,
Nauliza je kuna haja ya kuendelea kupina UKIMWI hata baada ya kupima katika zile nyakati za mwanzoni mwa uhusiano au kwakuwa wapenzi walisha pima wakati wa mwanzo wa uhusiano wao hivyo hakuna haja yakupima tena?

Ushauri wako upoHaja ipo especially kama hauko karibu na mpenzi wako na huwa mnaonana kwa msimu sababu nowdays watu wamekua si waaminifu katika uhusiano na hata mkiwa karibu pia ni vema kujijengea utaratibu wa kucheki afya atleast kila baada ya miez miwili au mitatu.
Daaaah mkuu mwaka parefu saanaKwani mnaogopa nini? Mnatakiwa kupima kila mwaka angalau mara moja. Michepuko is everywhere na haikwepeki.
Hiyo slogan naikataa always because sio kwamba ukipima ukiwa negative then ukijijengea utaratibu wa kupima kwamba kutabadili condition uliyonayo but kama ulikutwa negative then ukadate na mtu alie positive ukanasa ukicheki utakutwa hivo sio kwamba ndo utachokua unatafuta remember always unavuna ulichopandaa tu so huwezi kuwa negative then ukajilinda afu uje ucheki afya ukutwe positive ni kitu kisichowezekana kabisa.Endeleeni tu kupima muda si mrefu mtapata mnachotafuta.
Kipi Bora sasa, kujua afya yako mapema na kuzngatia dawa Ili usiaibike badae O' kusubiri upelekwe kuanza dozi ukiwa hujitambui Nasubiri jibuHakuna haja ya kupima aiseee.
Labda kama unatafuta kufa kwa presha.
Jinsi watu wanavyochepuka kwenye mahusiano ukijifanya una moyo wa kizalendo kujipimisha kila siku, utaishia kufaidisha wakusanya takwimu tu waonekane wanafanya kazi ipasavyo, ila wewe unaishia kufa na B.P tu.
hahahahaha umenena vema asigwaHakuna haja ya kupima aiseee.
Labda kama unatafuta kufa kwa presha.
Jinsi watu wanavyochepuka kwenye mahusiano ukijifanya una moyo wa kizalendo kujipimisha kila siku, utaishia kufaidisha wakusanya takwimu tu waonekane wanafanya kazi ipasavyo, ila wewe unaishia kufa na B.P tu.
Well well said mkuuNaomba nikwambie jambo Moja. Kupima UKIMWI ukakutwa ni negative sio life guarantee kwamba utakuwa negative hivyo unaweza Leo ukapima ukawa negative, kesho ukakutana na mtu positive mtafanya yenu Bila tafadhali after sometime ukajikuta positive, ninacho jaribu kusema ni kwamba pamoja na kupima na kuwa negative Lazima kuwe na uaminifu au kujilinda kweli kweli maana mmoja wenu akifanya mistake inakuwa shida.
Miezi 3 au 6 ni sawa pia.Daaaah mkuu mwaka parefu saana