Zingatia-Si kila mwanamke msomi anaweza kuwa na tija kwenye jamii

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Nimeshiba maandiko na nina njaa ya kuandika na ndio maana naandika sababu ya shibe ya maandiko ,nasikia raha kuandika sababu ya shibe ya maandiko ,soma kwa kina na tafakari nacho andika ni utunzi wangu .Dont get me wrong.

Kuna mwanamke alifeli darasa la saba kisha akaenda kusoma private school,akiwa private school alitembea na mwalimu wake na akapewa mtihani wa form four akafaulu kuendelea na kidato cha Tano.

Akiwa kidato cha Tano aliendeleza na utamaduni wa kutembea na wanaume ili kuendelea kutimiza ndoto zake kwa kutumia urembo wake,alitembea na Mwalimu mkuu wa high school akapata leakage ya mitihani ya combination yake na akafaulu mtihani wa kidato cha 6 na kuchaguliwa chuo kikuu.

Alipojiunga chuo kikuu ,alichagua wanaume wenye akili na kuwaweka karibu kwa ajili ya kumsaidia course work na test sababu ya ubora wa sura yake na shape yake,na bila hiana wanaume walafi wapo wengi wenye uchu ya wanawake wasiojitambua.

Tabia ya kutembea na wanaume kwa ajili ya kutimiza malengo yake iliendelea kwa kila alichokihitaji,alimaliza chuo kwa kuwa na idadi ya kutembea na wakufunzi wengi na yeye hakujali kwa hilo sababu alihitaji kupata elimu kwa kutumia mwili wake na sio akili yake.

Mwanamke huyo alipomaliza chuo alipata kazi kwa urahisi mno sababu ya baadhi ya ma HR wengi ni wanaume ambayo wanaajiri wanawake wengi warembo wasio na utashi wala weredi wa kufanya kazi .Na ndio maana tuna taifa bovu sababu ya kuwapa baadhi ya watu ajira wasio na uwezo wa kiutendaji na ubunifu.

Zingatia-Si kila mwanamke msomi anaweza kuwa na tija kwenye jamii wengine mizizi ya degree zao zimejaa dhambi,na uzuri wako usiwe kigezo cha kuwa burudani ya wanaume,Wanawake wengi ambao hawana elimu ndio wajenzi wakubwa wa familia na malezi bora ya watoto wetu.

Choose the guy that takes you to meet his parents and not his bedroom.
Benjamini James

#GedsellianTz
 
Use whatever resource at your disposal to win whatever you want to achieve! What is a commodity? A commodity is anything that satisfies human wants/needs! Use beauty, sex for your achievement, to satisfy your needs/wants and life goes on !
 
Swadaktaaa
 
Back
Top Bottom