Nina wapenzi wengi sana ila sioneshi upendo wa dhati

Raphew peter

Raphew peter

Member
Joined
Dec 23, 2015
Messages
78
Likes
172
Points
40
Raphew peter

Raphew peter

Member
Joined Dec 23, 2015
78 172 40
Jamani wapendwa wana JF mim nina tatizo kubwa sana linanitatiza...maisha yangu ni ya kawaida sana ila nina bahati ya kupendwa na wadada ambao nikiwahesabu tangu nianzishe mahusiano nao naona wanafika hata 10 na wote kila niliyekuwa nikibahatika kukutana nae lazima nimkute akiwa BIKRA yani bas pale nasimamia shoo barabara mpaka mtoto anapagawa na kuning'ang'ania..

Nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2013 nikiwa advance nilipata mdada ambaye alikuwa maeneo ya shule ilipokuwa .alinipenda kwa dhati mpaka akamua kuniwekea bili ya chakula lakini pia nauli za kurudi nyumban alikuwa ananipa licha ya wazazi wangu kias flan walikuwa wakinijali lakin kamwe hawafikii kwa yule dada ..nilikuwa mnyenyekevu kwake nikimwahi kuwa nitamwoa lakini nilipomliza form six tu ndo nikamchunia navkumwanzishia visa vya ajab ajab lakin amwkuwa mvimiliv sana.

Wa pili huyu nilimkuta bikra nikiwa chuo mwka wa kwanza alikuwa akinihudumia sana na yyeye nilimwahid kumwoa lakin figisu nyingi snaa..
Wa tatu ana kazi yake nayeye nekuwa nae kimapenz licha ya hao 2 wamwanzo bado niko nao kimawasiliano kila mmoja akionesha moyo wa kunisamehe nizae nao kila mmoja japo hawajuani yani kila mmoja anajua yupo pekee yake kqangu..

Mwingine yupo chuo mwaka wa kwanza nayyeye hivo hivo ananipenda sana na anadi nimpe mimba kabsa azae kwan naonesha upendo wa dhat kwake anavoniona na nimekuwa pretenda mkubwa snaa katka mahusiano..
Mwingine ni mwanafunz bado yupo form six kwanza na kinaonekana kunithamini sana mpka wakat mwingine kina amua kunitumia hela ya matimiz wakti kapewa hela yake ya matumiz shuleni..

Mwingine ni mwana chuo udsm mwaka wa 2 engering yan huyo sasa nilijua nitawah achana nae kwan nilijua kutokana na tabia yangubya kuahindwa kutoa hata zawad kwa mpenzi wangu lazima nipigwe chini lakin ndo kageuka na kuwa tunagawana BUMU lake..

Mwingine sasa huyu kaajiliwa ofic za madini yan mshahara ukiingia ananiuliza vipi mkopo umeingia au bado ..?? Nikilia tu anasema usijali bada ya dk 20 mara 50 fasta natumia huku akinihoji kuwa ni kweli nina malengo nae na mimi namwambia yan lazima nikuoe daaah..ofcoz nimekuwa mwongo sana kwan hiyo yote ni kutokana na hali yangu kiuchumi japo ndo hivo nina ngekewa ya kupendwa ..

Mwingine huyu ni nimempata mwezi uliopita tulikutana kwenye concert flan hiv amzing akapenda swaga zangu kwan nilikuwa naongea na mtu kwa simubtukiongelea mambo flan hiv gafla nashangaaa naombwa namba na mtu pemben .badae kumuliza anaanza kudai hajawah toka na mwanaume so anailiza et siku akija toka nae vip hawez pata
maumivu..??kaaaaah..nikaonabhiz zalau sasaa gafla kesho yake akachezea upini nikakuta kitu intact/silidi..duuuh..yan wote hao kila mmoja ana malengo na mimi..

NIFANYEJE HII HALI ITOWEKE KWANGU JAMANI..BINAFSI NAFSI INANIUMA SNAA KWA JINSI NAVOWATREAT HAWA VIUMBE..am seriuz sana guyz nimekuwa nakijarib kuwaacha gafla napata shida kubwa snaa ambayo nikimpigia mmoja qapo lazima aitatue kwa hiyo inakuwa inaniongezea upendo kwake yan kumwacha nashindwa kwan na mimi nawaonea huruma kwa jins wanavojitoa kwangu...

Mbaya zaid kuna mwingine aliwah mpkaa kunilipia ada ya shule kias flani...daaaah..am not happy real...am afraiding to enjoy the cup of MVinyo wa gadhabu ya bwana..make daaaah..hii hali ni hatari sana..
Nimekuwa nikijiuliza siku ya kumwoa huyo mmoja kati yao itakuwaje..??huwa navuta picha itakuwaje mbaya zaid kuna wawili hapo wana pressure tayar si ndio nitawamalizia kabsa..

Imefikia mahali simu yangu nimeiwekea program flan hiv akituma txt y kimapenz mmoja wa wapenz hao kama mtu wa kawida huwez ukaona mpkaa mimi niofungue ndo nitaiona...yan message ikiingia ya mtu wa kawaida inaonekana lakin za wale wachimba nimewtengenezea hiding folder tena kwa pasword..txt inginia simu yangu inaonesha taa ya kijani tu na sio text icon ila ya mtu wa kawaida inajulikana tu kwan najua ya mtu a kawida ni siri..hii hali nimekuwa nikiifanaya kila napomtembelea au ninapotembelewa na mmoja kati ya hao ilibkuepusha kakamatwa kuwa nchepuka..

So guyz naombeni ushauri nifanyeje..?
 
R

rajov69

New Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
1
Likes
4
Points
5
Age
25
R

rajov69

New Member
Joined Jul 1, 2016
1 4 5
Jamani wapendwa wana JF mim nina tatizo kubwa sana linanitatiza...maisha yangu ni ya kawaida sana ila nina bahati ya kupendwa na wadada ambao nikiwahesabu tangu nianzishe mahusiano nao naona wanafika hata 10 na wote kila niliyekuwa nikibahatika kukutana nae lazima nimkute akiwa BIKRA yani bas pale nasimamia shoo barabara mpaka mtoto anapagawa na kuning'ang'ania..

Nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2013 nikiwa advance nilipata mdada ambaye alikuwa maeneo ya shule ilipokuwa .alinipenda kwa dhati mpaka akamua kuniwekea bili ya chakula lakini pia nauli za kurudi nyumban alikuwa ananipa licha ya wazazi wangu kias flan walikuwa wakinijali lakin kamwe hawafikii kwa yule dada ..nilikuwa mnyenyekevu kwake nikimwahi kuwa nitamwoa lakini nilipomliza form six tu ndo nikamchunia navkumwanzishia visa vya ajab ajab lakin amwkuwa mvimiliv sana.
Wa pili huyu nilimkuta bikra nikiwa chuo mwka wa kwanza alikuwa akinihudumia sana na yyeye nilimwahid kumwoa lakin figisu nyingi snaa..
Wa tatu ana kazi yake nayeye nekuwa nae kimapenz licha ya hao 2 wamwanzo bado niko nao kimawasiliano kila mmoja akionesha moyo wa kunisamehe nizae nao kila mmoja japo hawajuani yani kila mmoja anajua yupo pekee yake kqangu..
Mwingine yupo chuo mwaka wa kwanza nayyeye hivo hivo ananipenda sana na anadi nimpe mimba kabsa azae kwan naonesha upendo wa dhat kwake anavoniona na nimekuwa pretenda mkubwa snaa katka mahusiano..
Mwingine ni mwanafunz bado yupo form six kwanza na kinaonekana kunithamini sana mpka wakat mwingine kina amua kunitumia hela ya matimiz wakti kapewa hela yake ya matumiz shuleni..
Mwingine ni mwana chuo udsm mwaka wa 2 engering yan huyo sasa nilijua nitawah achana nae kwan nilijua kutokana na tabia yangubya kuahindwa kutoa hata zawad kwa mpenzi wangu lazima nipigwe chini lakin ndo kageuka na kuwa tunagawana BUMU lake..
Mwingine sasa huyu kaajiliwa ofic za madini yan mshahara ukiingia ananiuliza vipi mkopo umeingia au bado ..?? Nikilia tu anasema usijali bada ya dk 20 mara 50 fasta natumia huku akinihoji kuwa ni kweli nina malengo nae na mimi namwambia yan lazima nikuoe daaah..ofcoz nimekuwa mwongo sana kwan hiyo yote ni kutokana na hali yangu kiuchumi japo ndo hivo nina ngekewa ya kupendwa ..
Mwingine huyu ni nimempata mwezi uliopita tulikutana kwenye concert flan hiv amzing akapenda swaga zangu kwan nilikuwa naongea na mtu kwa simubtukiongelea mambo flan hiv gafla nashangaaa naombwa namba na mtu pemben .badae kumuliza anaanza kudai hajawah toka na mwanaume so anailiza et siku akija toka nae vip hawez pata maumivu..??kaaaaah..nikaonabhiz zalau sasaa gafla kesho yake akachezea upini nikakuta kitu intact/silidi..duuuh..yan wote hao kila mmoja ana malengo na mimi..
NIFANYEJE HII HALI ITOWEKE KWANGU JAMANI..BINAFSI NAFSI INANIUMA SNAA KWA JINSI NAVOWATREAT HAWA VIUMBE..am seriuz sana guyz nimekuwa nakijarib kuwaacha gafla napata shida kubwa snaa ambayo nikimpigia mmoja qapo lazima aitatue kwa hiyo inakuwa inaniongezea upendo kwake yan kumwacha nashindwa kwan na mimi nawaonea huruma kwa jins wanavojitoa kwangu...
Mbaya zaid kuna mwingine aliwah mpkaa kunilipia ada ya shule kias flani...daaaah..am not happy real...am afraiding to enjoy the cup of MVinyo wa gadhabu ya bwana..make daaaah..hii hali ni hatari sana..
Nimekuwa nikijiuliza siku ya kumwoa huyo mmoja kati yao itakuwaje..??huwa navuta picha itakuwaje mbaya zaid kuna wawili hapo wana pressure tayar si ndio nitawamalizia kabsa..

Imefikia mahali simu yangu nimeiwekea program flan hiv akituma txt y kimapenz mmoja wa wapenz hao kama mtu wa kawida huwez ukaona mpkaa mimi niofungue ndo nitaiona...yan message ikiingia ya mtu wa kawaida inaonekana lakin za wale wachimba nimewtengenezea hiding folder tena kwa pasword..txt inginia simu yangu inaonesha taa ya kijani tu na sio text icon ila ya mtu wa kawaida inajulikana tu kwan najua ya mtu a kawida ni siri..hii hali nimekuwa nikiifanaya kila napomtembelea au ninapotembelewa na mmoja kati ya hao ilibkuepusha kakamatwa kuwa nchepuka..

So guyz naombeni ushauri nifanyeje..?
2ae67747e1cb5403e12b5f8495031a6d.jpg
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,662
Likes
5,559
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,662 5,559 280
10 tu unaogopa? ngoja wafikie walao 25 uombe ushauri
 
Raphew peter

Raphew peter

Member
Joined
Dec 23, 2015
Messages
78
Likes
172
Points
40
Raphew peter

Raphew peter

Member
Joined Dec 23, 2015
78 172 40
Duuuh..hakuna namna ya kuwaacha .nahitaj techinq nirud katka hali yangu ya usingle ...
 
Kaboom

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Messages
9,515
Likes
9,061
Points
280
Kaboom

Kaboom

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2011
9,515 9,061 280
Teh..Watoto wengine wakike bana..Mtu hadi chuo bado bikra tu..
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
12,109
Likes
23,148
Points
280
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
12,109 23,148 280
Aiseee......! Unataka kuacha unasubiri upewe techniques za kuacha????
 
Forum statistics

Threads 1,236,073
Members 474,965
Posts 29,245,775