tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,876
- 27,211
Baada ya muda mrefu ya kuwa mbali nimeonana na baba mzazi.Amefurahi sana na tumeongea mengi sana.akaniambia haya yafuatayo.
1.Mwanangu umekua fanya kazi kwa bidii Sanaa.
2.Tafuta mwenzako wa kuishi naye(oa).
3.Pombe si nzuri.
4.Heshimu watu wote.
Amenishangaza haogopi kifo,amesema me nipo hapa pangu na mtanizikia hapahapa.
Daa,asante baba.