Inategemea aisee mimi i believe in second chance na imework for me ,kwetu sisi tena ndo imeimarisha mapenzi na kuthamini mno penzi letu maana tulisambaratika kila mmoja akaenda njia yake lakini tukashindwa kusahauliana yani kila mmoja akawa anammisi mwenzie lakini unarudije baada ya muda kupita sana Mungu si Athumani tukakutana tukapiga story za kawaida tu sasa wakati wakuagana jamaa aliachia kiss moja hatari kwenye shingo ile kiss iliamsha hisia kali sana na hapo ndo tulipogundua bado tunapendana sana basi tukarudiana kwanguvu zote na mapenzi ya hali ya juu, na baada ya kutengana na kukutana na wengine ndio hapo nilipogundua kwamba duh kumbe nilikuwa namchukulia poa jamaa lakini kumbe alikuwa ananipenda sana kwahiyo nilipopata nafasi hii ya pili aisee sitaki fanya makosa tena na simchukulii poa tena yani nampenda mmno kuliko mwanzo, I am a second chance person and i believe in it