Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 334
- 237
Nilimpata msichana lakini aliniambia ana mtu lakini akanipa nafasi ya kuwa pamoja tukadumu kama mwezi hivi tukaachana .sasa kuna siku akanipigia akaniambia ana mimba yangu nikamuuliza umejuaje kama yangu na sio ya huyo jamaa demu akamaind akanipotezea .
Sasa baada kama ya mwaka amenitafuta na akanionyesha picha za mtoto akasemwa huyu ndo mwanao uliye mkataa nikamwambia kwahIyo, akasema anaitaji huduma nikamwambia poa nitakuja kumuona baada ya muda kupita nikiwa najichanga, Mara demu akawa anapost picha za jamaa yake yule wa mwanzo kumuuliza akaniambia bado yupo nae ila mtoto anasema wakwangu sio wa jamaa.
Sasa naombeni ushauri kweli atakua wangu au ndo anataka kunifanya kitega uchumi cha kupoza ukaliwa maisha.