Ladha ya mapenzi imekwisha!

wa4

Senior Member
Jul 2, 2016
158
65
Nilikuwa naishi na babu yangu mzaa baba, siku moja akaniambia (babu naona kama wanawake wote ni madume) sikujua la kumjibu pengine Kwa sababu umri wangu ulikuwa bado lakini Kwa sasa ninaanza kuyaona taratibu, kwani nina muda tangu nijiingize ktk mambo ya mapenzi na hatimaye ndoa, ukweli ni kwamba nina mwaka mmoja na miezi mitatu tangu ndoa yangu iingie dosari na kupelekea kutengana na mwenza wangu, ambayo ilidumu kwa miaka 13 kwa shida, nahitaji kuoa lakini mwanamke gani nimuoe ndio inanisumbua, swali la msingi nini haswa kinakusisimua pindi umuonapo mwanamke
 
Wa kutafutana ndo wanaoongoza kwa kuachana, anyway sitaki kuingilia uzi wako lakini hii point inahusika sana na ndoa za siku hizi
 
sijaelewa,,,, mala ina dosari 1 yr and ahalf oh! ndoa ina 13 yrs sa sijui mliachana mda gan yaan ebu fafanua basi.
 
sijaelewa,,,, mala ina dosari 1 yr and ahalf oh! ndoa ina 13 yrs sa sijui mliachana mda gan yaan ebu fafanua basi.
Ndoa ndoa ilidumu kwa miaka 13, lakini tangu aondoke ni mwaka mmoja na miezi mitatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom