Maumivu kwa muhusika bila kujali wako kwenye ndoa ama wapenzi yapo pale pale...Ila tofauti inakuja baada ya kusalitiwa mkiwa wapenzi tu kuna option kibao za kufuata either kuachana bila kuwa na msururu wa mambo ama kuendelea bila shida lakini mkiwa ndoani baada ya kusalitiwa option zinakuwa finyo sana huwezi kuachana kienyeji enyeji lazima mshirikishe watu wengi...Na hata mkiendelea kuishi unakuwa tayr umejeruhiwa utaishi na mtu ili mradi tu lakin mapenzi halisi yanakuwa hakuna...
Kwenye ndoa hakuumi sana utakuwa ulishamfaidi sana! ila kama upo kwenye mapenzi mara akwambie hatuta fanya tendo hadi tufunge ndoa, halafu umeshahudumia sana hela mwisho wa picha anakupiga chini!
Kusaritiana kwenye ndoa ndiyo kunauma zaidi kwasababu unakuwa umejihakikishia kuwa huyo uliyenae niwakwako milele lkn hawala huwezi kuwa na mamlaka nae yoyote so hata akikusariti utaumia kwa muda then utasahau haraka tofauti na mkeo au mumeo hicho kidonda kupona kwake inatakiwa deliverance players
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.