juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari zenu wanajamvi,naamini sote humu ni watu wazima. Kiukweli nasema kutoka moyoni kwamba binafsi siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto kamwe kwasababu kwanza kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kutojiamini kabisa. Haiwezekani wanawake ni wengi halafu nioe mtu ambaye kashazalishwa.
Ila pia siwezi kuoa mwenye mtoto kwa sababu wengi wao hawaachani na wazazi wenzao.Mimi ni shahidi,kwasababu nimeshuhudia hilo,sasa kuoa mtu wa namna hiyo ni kujipa jaka moyo(kumbuka wazazi hawaachani).
Ila pia wengi wao wanakuwa na chain ndefu ya wanaume(kama huamini basi),kwa sababu kama katelekezwa na hana kazi basi atategemea wanaume tuu. Yaani kifupi mimi binafsi hata kudate tu na mwanamke mwenye mtoto siwezi na sitaki kwasababu wenye watoto huwa hawana time na kupendana ,wao wanawaza zaidi familia zao. Yaani mahaba hawana ,zile za baby baby hawana kabisa(kama huamini basi),byeee.