Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari za muda huu wanachama wenzangu wa JF, matumaini yangu hamjambo na ni wazima wa afya,
Ningependa kusema najuta kutembea na msista flani mwenye mimba na amejifungua mwezi wa 6 kwa oparesheni, binafsi nina mke wangu ambae nae ana ujauzito wangu na anategemea kujifungua mwezi huu wa 7 sio zaidi ya wiki mbili zijazo,kwa kifupi nimeamua kubaki na mke wangu na kumuandalia maisha mema na mazuri mtoto wangu hivyo nafsi yangu inanitaka niachane na huyo mchepuko japo naogopa nikimwambia simtaki anaweza kuchukua hatua hatarishi na kuniweka matatani au hata kuniroga manake nishapewa stori kabila lao ni moto wa kuotea mbali.
Nimejitahidi kutopokea simu zake kwa muda lakini naona mwenzangu hajui kusoma alama za nyakati kwani kila muda ananisumbua na mimi kutoka ndani ya moyo simtaki na sina muda wa kulea mtoto nisiejua kapatikana wapi,nampenda mke wangu na nampenda sana mtoto wangu ajae.
Naombeni ushauri niachane nae vipi huyu single mother?
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU WANA JAMIIFORUMS.