Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,069
- 6,742
.
Aisee.....umeongea ukweli mtupu!Vijana wa leo sisi tunaoa eti kisa sura na shepu,bila kujua ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje.
Mungu akubariki sana kwa ujumbe wako mzuri,naamini vijana wenye lengo la kujifunza watajifunza kitu hapa!
Umezungumza vizuri
Watu cku hz hawataki kukosolewa yaani udiktekta tu
mtoa mada umeolewa? tuanzie hapo
Wanasema ukitaka kuijua vizuri ngoma, shuruti uingie uicheze kwanza. Mara nyingi ukiwa nje huwezi ukajua yaliyoko ndani katika uhalisia wake.soma vizuri utaona sijaolewa! nimejifunza tu kwa walio ndani
misemo usiichukulie kama ilivyo 100% mahusiano pia nime experience! sijakurupuka best kuyaandika! kwani sahiv ndo hiyo ngoma imekuwa ngumu kama zamani?Wanasema ukitaka kuijua vizuri ngoma, shuruti uingie uicheze kwanza. Mara nyingi ukiwa nje huwezi ukajua yaliyoko ndani katika uhalisia wake.
imetoka moyoni kabisa yatupasa kubadilika
imetoka moyoni kabisa yatupasa kubadilika
Wenyewe wanadai tabia watafundishana...Aisee.....umeongea ukweli mtupu!Vijana wa leo sisi tunaoa eti kisa sura na shepu ,bila kujua ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje.
Mungu akubariki sana kwa ujumbe wako mzuri,naamini vijana wenye lengo la kujifunza watajifunza kitu hapa!
mkuu siri nzito walizibeba mama zetu yaani Uvumilivu uliotukuka kupita viwango
mama anahangaika kuchoma vitumbua chapati au hata shambani nk ili upate kura na kukisomesha
lakini wadada wa siku hizi hawana siri anaona ufahari kumnamga mumewe hana uvumilivu hawawezi kijitoa
nani hatakubari kuuza maandazi sa hivi hawa mAsister du wa insta hao makaka nao hawajambo
zamani kwanza walikuwa wanamaliza ugomvi wenyewe chumbani
ukizidi kabla haujafika kwa wazazi kaka mkubwa au dada mkubwa husuruhisha lkn sasa hivi au madada wakubwa wenyewe wanaitwa masingo mama hawana hata mpango wa kuolewa wanadai wanalea watoto
sasa hivi tuoane tu 7bu ni sheria na ukipata mke au mume akawa anakupa unyumba na kukuridhisha bira masharti ya ajabu basi nawe jitahidi uwe mwaminifu hayo mingne majariwa tunamuachia MUNGU tu anajua
ila sasa hivi WANAUME wa kuoa wapo wengi zaidi kuliko wanawake wa kuoa
wanawake wa sasa hivi HAMNAZO