Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Salaam,
Hii iwafikie wanawake na wasichana wote wenye wazo na hitaji kama langu. Mimi ni mwanaume, 28 years of age, living in Mwanza. Nina kazi yangu inayoniingizia kipato na naendesha maisha yangu fairly. Sina watu tegemezi zaidi ni kurudisha fadhila kwa baba na mama tu ambalo ni jambo la kawaida kwa sisi Waafrica.
Katika umri huu sihitaji kuoa wala kuwa na mke. Malengo nitaoa baadae sana lakini nahitaji kuwa na mtoto. Hivyo basi, nimetafakari na kuona namna rahisi na pekee ya mimi ni kutafuta mwanamke atakayekubali kuzaa na mimi kisha alee mtoto akiwa mama mzazi wa mtoto. Nitahudumia kwa kila kitu mama pamoja na mtoto kwa kadri ya hali itakavyokuwa. Kama kutahitajika mkataba wa kisheria nipo tayari kusaini naye.
Nilivyo:
Nipo tayari kupima HIV.
Mweusi
Urefu ft 5 inch 5
Sina matatizo yoyote ya kiafya wala magonjwa sugu. Nipo tayari kupimwa.
Mwanamke ninayehitaji:
*Awe na shughuli halali anayofanya inayomwingizia kipato
*Dini yoyote na yeye ntampa kipaumbele apange dini ya mtoto
*Asiwe mlevi
*Awe tayari kupima HIV na mimba
*Asiwe mke wa mtu
*Umri kuanzia 19 mpaka 40
*Good looking (simaanishi sura)
Mengine tutaelezana pole pole. Only serious people are needed.
Tukutane PM