GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Wasichana wanapenda wanaume wazuri kwa vigezo vya six pack , sura nzuri na uwezo wa kipesa kwa mwanaume husika pamoja na vigezo vya urefu,ufupi na rangi za mwanaume ila Wanawake waerevu wanapenda wanaume bora wenye vigezo vya akili,nidhamu adabu na mawazo chanya na daima hupenda mwanaume aliyemzidi kila kitu ili ajifunze na kuwa mkamliifu.Daima wanawake hupenda wanaume wenye uvumilivu kwa kila changamoto katika maisha .
Wavulana wanapenda wanawake wazuri wenye shape nzuri na wenye mvuto ,wenye nywele ndefu pamoja na rangi nzuri ,na viambatanisho vya wanawake wenye tabia ya kuonyesha hadharani maungo na tabia zao za kizungu. wakati Wanaume bora wanapenda wanawake bora kwa mtazamo, wa maarifa,adabu ,wanawake wenye hofu ya Mungu na wenye jitihada za kuwa na maisha mazuri na wenye ujuzi wa kulea watoto na wanaume kwa uvumilivu na adabu.
Yawezekana unashindwa kutofautisha kati ya Mwanaume na Mvulana au Mwanamke na Msichana .Kuna wanaume ambao wameoa ila wanatabia za wavulana na kuna wanawake wameolewa na wanatabia za kisichana,Mwanaume ambaye anapenda starehe kuliko kulea familia yake huyu ni mvulana na Mwanamke anayependa sana outing na starehe kuliko familia yake huyo ni msichana.
Kama haujao/kuolewa na una miaka 25 and above kuwa makini sana katika kuchagua mwanaume/mwanamke bora wa kutengeneza naye future sababu unaweza tengeneza ndoa na msichana/mvulana ambaye akaja kukuletea karaha badala ya raha kwenye ndoa ,wengi wameolewa na kuoa ila hawana raha na ndoa zao sababu mbalimbali na nyingine ni kutizama shape na sura pamoja na pesa .Jifunze kwa waliokutangulia ili uwe na ndoa bora.
Six pack haziwezi tunza ndoa wala kulea watoto,Ashakum si matusi makalio au figure number nane haliwezi tunza ndoa wala kulea watoto ,utashi na mapenzi ya dhati ,uvumilivu na hofu ya Mungu ni moja ya asset za ndoa bora na takatifu ambayo itakuwa na baraka na mafanikio daima.The natural desire of good men is knowledge.