joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Habari zenu wakuu!
Wadau kuna ishu moja hivi huwa inanitokea mpaka sasa hivi nashindwa kuielewa vizuri kuhusu hawa dada zetu, hivyo basi imenifanya niwe njia panda maana tangu naanza kuwajua mademu wamekuwa wakileta tabia ambazo nashindwa kuzielewa maana kila demu anaenipa game unakuta analazimisha nimpe mimba hata kama sitamuoa yupo tayari awe na mtoto wangu.
Hivyo basi, kwa mwaka huu nipo katika uhusiano na mademu watano na wote hawajuani hata kidogo cha kushangaza ni kwamba wote wanalazimisha niwape mimba mpaka imefikia kuniwekea masharti ambayo kiukweli nayaona magumu na ukizingatia sipo tayari kuongeza watoto wengine maana tayari ninao wawili ila mama tofauti.
Je? Ni kweli wananipenda au ni kitu gani kinawafanya wawe hivyo. Wakati mwingine wanafanya nafikirie kuwa huenda wanajuana wanataka kunikomoa.