Kwanini......

Kwanini......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,559
Reaction score
127,877
Usipovaa chupi au boksa hata kama umevaa suruali au pensi au bukta kwa kawaida uume unakuwa umekasirika na una simama sana na hulala tu baada ya juhudi kubwa na kuhangaika nao mno?

Kuna siri gani kubwa ya kitaalam na kibaiolojia iliyojificha hapa?

Nitashukuru wajuvi, wataalam na wamiliki wa hii " minara " yetu " myeusi " mkijitokeza kulijibu hili ili nasi wengine tupate kuelimika.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Popoma...... Nimekumbuka hili neno gafla sijui kwanini

Ndiyo ujue kuwa my influence and convincing power ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba nikianzisha jambo au kitu fulani kinakuwa, kukubalika / kupokelewa na kinatumika. Ni zawadi au uwezo ambao Mwenyezi Mungu hugawa tu kwa wachache " aliotubariki ".
 
Mungu wangu hivi sifa ni kujisifia au ni kusifiwa? Ukishaona mtu anajipa sifa asiyostahili basi hilo ni tatizo tayari
 
Hivi mkuu "Gitaa la kidali kimoko" Inamaana gani?
 
Na ni kweli Broo Yana Man Usipovaa Chupi au Boxer unajihisi uko uchi kabisaa.hata uvae jinsi hautakuwa poa.
 
mtirirko wa damu unakuwepo pasi na kizuizi(uume kupindishwa eidha upande wa kushoto,kulia au juu) hapo dude linakuwa free likikita huku na huko ndani ya suruali teh teh
 
Na wale wasiovaa hata hiyo sarawili kama wamasai itakuwaje?
 
Mungu wangu hivi sifa ni kujisifia au ni kusifiwa? Ukishaona mtu anajipa sifa asiyostahili basi hilo ni tatizo tayari

Kwakuwa ID yako tu inasema " Kizibo " nadhani sasa ni muda muafaka " ukazibuliwe ".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom