Hili nalo lina ukweli

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,222
1,235
Habari wanajamii forum
Kwa wale wenzangu na mimi ambao hatujaoa tujitahidi kutengeneza maisha wakati tungali SINGLE maana ukishaingia kwenye majukumu ya kuoa mara nyingi muda wa kujenga maisha unakuwa mgumu sana,ni ushauri tu kama ujumbe wa hapo chini unavyojieleza

13600041_1062130640533107_8133785707375352312_n.jpg
 
Back
Top Bottom