Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hata uwe mwanamke mzuri kiasi, mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana, kama una kiburi, lugha mbovu, majibu mabaya hakuna mwanaume...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
1 MLANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake ilisikika ikinong’ona, ikiwa na kila dalili ya hofu na wasiwasi, ikisema, “Tafadhali nifungulie…...
11 Reactions
313 Replies
76K Views
mambo zenu wanajf, Vina wengi huamini kwanba kukaa na hawala ni njia ya kujifunza tabia za m'me /m'mke au hudhani ndo maisha ya ndoa huwa hivyo wakati kumbe si kweli Hiv kama kijana unawezaje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maajabu ya mambo haya,mara umfanyiapo binadamu mwenzako,marejeo yake kwa namna ya kipekee ni lazima. Si lazima mtendewa ubaya alipize hapana,bali hutokea tu mtu mwingine akalitenda hili katika...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
AINA YA MATESO; FAIDA NA HASARA Nawashukuru walioungana nami kwenye ukurasa huu, nawaomba tumalizie somo letu kwa kuangalia vidokezo vichache vilivyosalia. MATESO YA KUTETEA HAKI; Siku zote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
$$$$$$$$$$$$$
0 Reactions
22 Replies
21K Views
Tofauti yetu na mbuzi (mnyama) siyo miguu au manyoya bali kitu kingine kikubwa zaidi. Kitu hiki kikubwa ndicho sisi sisi ni jinsi tunavyofikiri kwa kufikiri kwetu tunakuwa kama tulivyo ambao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...HAPA NDO NASHINDWA KUWAELEWA WATANZANIA WENZANGU.. ETI KAVAMIA SHULE NA KUGONGA KENGELE; WANASHANGILIA. KAENDA KIJIWENI KUBRASH VIATU; WANASHANGILIA. AMEWATOSA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani wadada mtuambie siku ile ulipopewa mimba tena bado ukiwa shuleni na kale kaboifriend kako mtiti ulikuaje nyumbani? Hahaaaaa! Mtoto anaendeleaje? Vipi mtoto anaishi kwa nani saizi, kwa bibi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
habari wanajf leo ntaelezea namna ya kumdate mwanamke tajirir;yaani mwanamke mwenye mkwanja wa maana,yaani mwenye private jet,makampuni ya kutosha,magari ya maana na sura yenye mvuto mwanamke kama...
4 Reactions
52 Replies
10K Views
1. Date for fun. Don't be serious about ut. 2. Let everything flow. 3. Don't be too demanding. 4. Lower your expectations. 5. Be open and straight forward.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out, kumpelekea vijazawadi, hela za matumizi n.k lakini yeye hana hata mpango huo. Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Hababi za muda huu, Nimekua nikiangalia tamthilia ya siri za familia na kuona kwamba waigizaji wengi wa wakike katika tamthilia hii wamefungusha mizigo mizito (vyura) kitu ambacho kimekua ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa...
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Mwenzenu mwanzo nilikuwa na mpenzi wangu; tunaishi wote; alipozaa akawa anatumia uzazi wa mpango; huu wakati umekuwa mgumu sana kwangu maana siku zake za period zimekuwa hazieleweki; anaweza ingia...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wanajf ....! Niende Moja kwa moja kwenye point:- Mimi ni kijana Nina miaka 20 pia Nina mpenzi tatizo:-mimi kwenye swala zima la sex sijawahi kuridhika je nina tatizo...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Mfano umetoka na mtu ambaye labda umevutiwa naye alafu unaagiza bia au spirits yoyote yeye anachukua juice au any non alcoholic stuff, or katika kupiga stori inaturn out hatumii mnatuona kama tuko...
11 Reactions
273 Replies
26K Views
Kuna mtu yoyote ambae alishawahi tibiwa na sigwa akapona kabisa ili tatizo la nguvu za kiume... Maana imekuwa janga sasa
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom