Imagine umetokea mwisho wa dunia hii tunayoishi sasa! Wote tumeondoka na kujikuta tumezaliwa upya katika dunia mpya ambayo hatua za kukua ni kama ilivyokuwa kwenye dunia ya awali (mtoto, kijana...
Habari za leo wapendwa,
Leo shost alikuja ofisini leo kunitakia kheri ya mwaka mpya, huyu ni shost wa nursery school na tulianza primary pamoja kabla ya wazazi wake kuhamia mkoani bai...
Wadau
Nahitaji mchumba wa kike aliyetayari kuishi maisha ya ndoa mida mfupi baada ya kujuana (angalau miezi miwili ya kujuana). kikubwa awe na maadili ya kiislamu, umri angalau isizidi miaka 24...
Habari zenu Wana jf,
Natafuta marafiki( male and female) wa kushare nao ideas za kimaisha especially mambo ya kimaendeleo,
Mm ni msichana (25yrs)
Elimu yangu bachelor degree
Mjasiriamali
Naamin...
Nilichokisikia leo sijakiamini kabisa, kwanza napenda niwajulishe tu kwamba hii ni handle yangu nyingine kwa sababu handle yangu inajulikana na marafiki zangu wawili watatu hivyo kwa namna moja au...
Binti leo hii unasema nahitaji mwanaume mwenye hofu ya MUNGU embu jitazame kwanza, kumbuka safari yako afu ujiulize umepata wapi hiyo confidence ya kusema unataka kuwa na mwanaume mwenye hofu ya...
Yaweza kuwa darasa moja au shule moja,
kiukweli ninawaona wengi sana wapo kwenye mahusiano angali wanasoma,
je inawezekana wakaweza kuoana hapo baadae?
Habari zenu wakuu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread...
Nikiri TU kwa wale walioa au tulioa tuna mtihani mkubwa hata kama sisi WANAUME tukikataa ila baadhi YETU tunakiona cha mtema kuni
Leo nimetukanwa mpaka nikawa nacheka badala ya kuhuzunika...
Habari wanajf nimetoka kazini nimefika nyumbani nimekuta funguo imeegeshwa mlangoni na watoto Dada kazi wameondoka,tulikuwa na mgogoro na kabla hili nlimwambia maono yetu yamekufa na haijalishi...
Wanaume wanapenda vitu gani? Ufanyeje ili umshike sawa sawa? Maswali kama haya huulizwa na karibu wanawake wote wanaotamani kuwa na uhusiano wa kudumu na wanaume.
Ingawa zipo tofauti ndogo ndogo...
Habari jamani
Unafaham watu wengi tunagongewa kwasababu hatuwafikishi wapenzi, wake zetu. Namaanisha mara nyingi mapenz yanapoanza ndo huwa yanakua moto moto. Unampa penzi mpenzi wako hadi yeye...
Katika pitapita zangu nimesikia eti mwanamke anaponenepa na kina chake kwenye uke huwa kinakuwa kidogo na wanawake wembamba huwa wanakuwa na kina kirefu,
Je ni kweli au walinidanganya?
Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu...
Wasalamu wana wa jukwaa!
Kuna mambo yamenitokea na kunishangaza kidogo kuhusu hawa wenzetu wanawake.
Nilipokuwa single nilihangaika vibaya mno ili nami nipate manzi nisipate wakunitaka...
Habari za siku,
Hii tabia naishangaa sana, unakuta umealikwa kwenye sherehe uko na mwandani wako sasa katika kubadilishana mawazo mtu anaropoka naomba namba yako. Huwa najiuliza inakuwaje...
Nimeumia sana jana nikiwa safarini niko kwenye basi akapanda mate wangu wa UDSM. Nilisikia furaha sana tangu 2000, baada ya kupanda tulianza akuulizana familia inaendeleaje.
Nilishtuka sana baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.