Habari zenu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa wapenzi.
Msichana awe na sifa zifuatazo, awe mkristo(Lutheran), awe na umri kuanzia 18-25, awe anaishi Dar es Salaam na awe na elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, aliyetayari plz nitext inbox.
Angalizo; Kama hautakuwa na cha ku-comment basi ni bora upite tu coz
niko serious.