Sigwa herb clinic wapo fiti au porojo

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
250
Kuna mtu yoyote ambae alishawahi tibiwa na sigwa akapona kabisa ili tatizo la nguvu za kiume...
Maana imekuwa janga sasa
 
James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
250
Eleza hayo majanga watu wakuletee dawa, wale wevi tu... Muone Mzizi mkavu ila usimuone client
Am strong bro coz uwa natumia miti shamba mara kwa mara hasa ile ya kusafisha kibofu cha mkojo na mwili pia so nashauri watu watumie mbinu hii..
I have my friend wa kike alienda pale sigwa alikuwa na matatizo yake ya kike alipona fresh ila cjui kwa hili tatizo kama wapo vizur so napo uliza kitu ni kwa faida ya watu wote ili kila mtu apate majibu humu
 
Ma ndingo

Senior Member
Nov 5, 2016
101
250
Achana na Sigwa Tafuta mitishamba inaitwa Kasongo Munende, Vumbi la kongo, Kizizi cha mkuyati na kuna hii mpya nzuri zaidi inaitwa MAGU wa msambwanda.
You will thank me later.
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,107
2,000
Am strong bro coz uwa natumia miti shamba mara kwa mara hasa ile ya kusafisha kibofu cha mkojo na mwili pia so nashauri watu watumie mbinu hii..
I have my friend wa kike alienda pale sigwa alikuwa na matatizo yake ya kike alipona fresh ila cjui kwa hili tatizo kama wapo vizur so napo uliza kitu ni kwa faida ya watu wote ili kila mtu apate majibu humu
Kuna mtu yoyote ambae alishawahi tibiwa na sigwa akapona kabisa ili tatizo la nguvu za kiume...
Maana imekuwa janga sasa
wewe acha kujipa promotion za kijinga yaani swali uulize wewe wewe na ushuhuda utoe wewe tena ?
 
James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
250
Me sio sigwa nimeuliza na nimesema kuna mtu wa kike alienda hedhi yake ilikuwa vibaya na alipona sasa cjui kwa tatizo hili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom