Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,403
2,477
Mfano umetoka na mtu ambaye labda umevutiwa naye alafu unaagiza bia au spirits yoyote yeye anachukua juice au any non alcoholic stuff, or katika kupiga stori inaturn out hatumii mnatuona kama tuko weak au mnatuonaje?
 
Mara nyingi kuna kujiuliza ni lipi anapenda

Inaweza ikawa ku do au bange au ana matatizo ya afya.

Au mtamu kitandani au bomu haswa na msumbufu, hapo ni kama hata hapendi mpira wa miguu na mengineyo.

Kimoja mdomo waje kwa denda lazima uwe na super utamu, kuonyesha anajipenda sio kunuka sabbau ya matatizo.
 
Huwa napata shida sana kueleza kuwa sinywi pombe,sivuti chochote na si mgonjwa wa papuchi!

Wengi wanaamini kama hunywi lazima utakuwa unalewa papuchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom