Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 638
- 1,530
Mwenzenu mwanzo nilikuwa na mpenzi wangu; tunaishi wote; alipozaa akawa anatumia uzazi wa mpango; huu wakati umekuwa mgumu sana kwangu maana siku zake za period zimekuwa hazieleweki; anaweza ingia period mfululizo hata wiki tatu, jambo hilo likanifanya nitafute mchepuko;
Nikafanikiwa kupata mchepuko Wa kwanza; nimekulakula lakini naye kiila akiingia period lazima amalize wiki, nikaona huyu naye ananiletea unabe; nikatafta mchepuko mwingine Wa tatu ili angalau niwe na uhakika, Wa tatu kapatikana!
Lakini cha ajabu siku wakianza period utazani wanaambizana maana wooote huingia Kwa pamoja! Yaani nikipiga simu Kwa mmoja ananiambia yuko period, nikijaribu Kwa mwingine naye yaleyale! Na huyu niliezaa naye ndo kabisaa ana extreme ya period!
Sasa nifanyeje!? Maana nikifikilia kuongeza naona yatakuwa yaleyale! Maana hivi juzi nimetongoza kitoto cha chuo, kimekubali lakini kikasema kipo period nisubiri kwanza !
Je; hivi wanawake kwani tarehe zao za period zinafanana? Ebu wajuzi nisaidieni hapa!
Maana Mimi haka ndo kaulevi kangu!
Kwa wiki angalau Mara tatu si haba!
Ingawa napenda show hata kila siku!