Kinyongo,kisasi na chuki......

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,229
23,917
Maajabu ya mambo haya,mara umfanyiapo binadamu mwenzako,marejeo yake kwa namna ya kipekee ni lazima.

Si lazima mtendewa ubaya alipize hapana,bali hutokea tu mtu mwingine akalitenda hili katika njia ya ajabu alimradi tu mzunguko wake ukamilike.....

Tusifanyie wengine hila chuki fitina visasi wala masengenyo...
 
kweli kabisa unaweza kumtendea mtu wema akakulipa ubaya ila utalipwa ewma na mtu baki hadi ushangae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom