Mwanamke wa kimbulu

Status
Not open for further replies.
nadhani hii kitu imejadiliwa mara kibao hapa jamvini, mbona mnawasakama wenzenu?
 
Tabia ya m2 hutokana na mazingira ya makuzi ya m2 husika, hivyo sidhani km ni sahihi kutoa mtizamo wa jumla kuhusu tabia za wa2 wa kabila fulani.
Unanachotakiwa kufanya ni kujua maisha ya nyuma ya mhusika huyo unayetaka kumwoa/kuwa wapenzi yaani familia yake aliyokulia ikoje, kwa mtizamo wangu haka km utaoa kutoka katika kabila linalosifika kwa kubana miguu km hutatimiza majukumu yako km mwanaume wapo watakao kusaidia kuiweka upande. Hivyo jiamini naamini hakuna tabia za kabila bali ni tabia za mtu kutokana na mazingira.

Kuna baadhi ya wadada ya kimbulu nawafahamu kwa kweli wananivutia kwa tabia zao kwani pamoja na kuwa wazuri/warembo na kuandamwa na wanaume wakware lakini wanajiheshimu sana,na hawana nyodo.
 
hebu acheni kuwasakama hawa mabeuty wa ki iraqw mimi nimedondokea huko huko.kama unaona ni warahisi njoo mtongoze wa kwangu!yupo hapa hapa jf.
 
Kwanza hakuna kabila la wambulu, mbulu ni eneo, wao huitwa wairaqui, na wametapakaa mbulu kwenyewe, karatu, babati na hanagh. Pili ulichoambiwa ni uongo hiyo tabia hutegemea na mtu husika, kama usemayo ni kweli wengine tungeshafukuza wake zetu, mimi pia nimeoa huko, she is faithful I can say. Acha woga kijana.
 
Actually hakuna haja ya malumbano. Sikiliza yasemwayo na waliokutangulia, halafu fanya homework yako, then jipime uko usawa gani.
Watakaokuja watajifunza kutoka kwako pia.
 
wapo vizur mm nmedumu nae miaka 4 xaxa na wala hatujawah hata Kugombana hizo ni tabia za m2 na co kabila
 
hebu acheni kuwasakama hawa mabeuty wa ki iraqw mimi nimedondokea huko huko.kama unaona ni warahisi njoo mtongoze wa kwangu!yupo hapa hapa jf.
Teh teh watamu sana hao watoto..nimewahi date wawili..ila kuoa sikushauri wengi viburi sana!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom