De Classic Boy Jr
Member
- Oct 28, 2015
- 52
- 45
...HAPA NDO NASHINDWA KUWAELEWA WATANZANIA WENZANGU.. ETI KAVAMIA SHULE NA KUGONGA KENGELE; WANASHANGILIA. KAENDA KIJIWENI KUBRASH VIATU; WANASHANGILIA. AMEWATOSA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI; WANASHANGILIA.. SASA HAYO YOTE YANATUSAIDIA NINI? WAKATI MWINGINE TUWE SIRIAZI BWANA!
jmn
jmn