Mimba za bahati mbaya

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,638
Jamani wadada mtuambie siku ile ulipopewa mimba tena bado ukiwa shuleni na kale kaboifriend kako mtiti ulikuaje nyumbani? Hahaaaaa! Mtoto anaendeleaje? Vipi mtoto anaishi kwa nani saizi, kwa bibi au kwako?

Na wale wazee wa kukataa mimba mpo? Vipi mnawahudumia lakini wasichana zenu mliowazalisha?

Ogopa sana kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya maana kuna binti mmoja nataka nimtie mimba kilazima mwaka huu.

Tiririkeni jamani uzi wenu huu hahaaaa! Kuna b
 
Hiyo unayotaka kumpa huyo binti itakua ya lazima sio ya bahati mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom