Habari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na...
ULE msala wangu na girlfriend wangu ulotokea ijumaa nikawasilisha ili kupata ushauri hatimaye jana uvumilivu ulinishinda maana naona alidhamilia kujidhuru, toka ijumaa jioni hadi jana mchana...
Habari zenu wana forum,
Wale wataalamu wa Afya ya MAPENZI naombeni mnisaidie,
Katika sex game, My Girl always huwa ananifanyia kila ajualo hatimaye namaliza kabla ya real sex, hapo nayeye anakua...
Ni takribani miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae.
Kila nikijaribu kutaka kumtongoza msichana nashindwa hata nianzeje, nikijaribu kusalimia hata...
Cheating Wife – Facts and Advice
Listed below are the most common findings about cheating wives. We also offer resources and advice for dealing with a cheating wife. All sources can be found at...
Wana jukwaa natumai mu wazima na mabukheri wa afya..
Bila kumumunya maneno kilichonileta jukwaani ni video ambayo inazagaa ya vijana Wawili ambao wamenaswa wakifanya vitendo vya kishoga..
Binafsi...
Wanaume kuna dalili ambazo ukiziona mwanamke wako anazifanya mkiwa faraghani ujue wazi hakuna unachofanya. Yaani wewe umejikoki unajua unatoa dozi umejipinda mara ghafla katikati ya mechi unasikia...
Me nakumbuka enzi hizo mapenzi yetu yako kwenye climax afu me nikiwa juu ya mawe hatari,nilikua ndo kwanza bado nakula ugali wa shikamoo home.
mtoto ananifariji kwa vijimaneno vyake vitamu,mfano...
KUTATULIWA MATATIZO
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za...
Habari za wasaa, wakuu mbali mbali.
Ni kipindi sasa kama miaka miwili niliwahi kuleta uzi kama huu wa kukumbukwa katika sala zenu. Maana nilipokwenda palikuwa pagumu na hatari sana.
Nimekuja...
Leo nimekwenda kuogelea mahali, tu my suprise, vidume wengi walikuwa na uhaba wa manyoya tumboni, ni wachache tu ndo tulikuwa na ka msitu ka Kongo!
Leo ndo nimegundua kwa nini wadada wengi...
Wakuu nyie mnadeal vipi na hawa watu wakiwa wajawazito maana naona kama hii hali sasa uzalendo unakaribia kunishinda.
Inakwenda wiki ya tatu sasa hii wakuu, sioni dalili, ni kuuguza tu!
Yale...
BORA KAMPATA WAKE
Niseme sikumpenda,nilimwacha makusudi,
Mwenzangu alinipenda,kwangu alipiga hodi,
Mwishoni nikamtenda,leo yupo na Hemedi,
Bora umepata wako,mpendane mkadumu.
Alinifundisha...
Send My Love (To Your New Lover)
Just the guitar. OK, cool.
This was all you, none of it me
You put your hands on, on my body and told me
Mmm
You told me you were ready
For the big one, for the...
Inasemekana kuwa siri pekee yakufaidi penzi ni hizi;
1.Umpate fundi/mjuzi wa mambo, hata kama mlokole, mpole, mstarabu, na mtulivu. Chumbani/kitandani anatakiwa awe MALAYA HASWA.
2.Awe msafi nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.