STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Hata uwe mwanamke mzuri kiasi, mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana, kama una kiburi, lugha mbovu, majibu mabaya hakuna mwanaume atakaa na wewe.
Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza, 'amewezaje kuniacha na mimi ni mzuri hivi', jifanyie internal scanning kuhusu tone yako unapoongea na mwanaume, mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Yaani wewe afande kibesi, na mmeo koplo kibesi, huo sio uhusiano ila ni kikosi cha askari wa kiwango security.
A woman should be tender soft-tonned. A listener. Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati mchepuko unaongelea puani hata kama nimeukosea mimi! Unahamwa!