lnspector CP
Member
- Apr 28, 2016
- 76
- 30
mambo zenu wanajf,
Vina wengi huamini kwanba kukaa na hawala ni njia ya kujifunza tabia za m'me /m'mke au hudhani ndo maisha ya ndoa huwa hivyo wakati kumbe si kweli
Hiv kama kijana unawezaje kuishi na mtu usiemjua kwao na hawana ridhaa na wewe,mtu kama huyo mtapanga nn zaid ya kufikiria ataindoka lini wakat ushamchika huenda wakat huo hujui mwenzako anafikiria nn juu yako
Mm ushaur wangu vijana tuamke kama unampenda muoe na nyie kina dada kama jamaa jakupenda na wewe umemkubali mwambie akuoe kwasab kuishi bila ya ndoa = kumfanyia ufisadi bi/bw harus wako ambae bado hujamjua