computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 488
- 535
habari wanajf leo ntaelezea namna ya kumdate mwanamke tajirir;yaani mwanamke mwenye mkwanja wa maana,yaani mwenye private jet,makampuni ya kutosha,magari ya maana na sura yenye mvuto
mwanamke kama mwanamke anaweza akawa na mali za kutosha but bila mwanaume pembeni yake hawezi kuishi kwa raha maisha yake yote
kwanza kabisa inabidi ujue wanawake wa dizaini hizi wanapatikana wapi
mwanamke kama mwanamke anaweza akawa na mali za kutosha but bila mwanaume pembeni yake hawezi kuishi kwa raha maisha yake yote
kwanza kabisa inabidi ujue wanawake wa dizaini hizi wanapatikana wapi
- pendelea kutembelea mahoteli ya maana na club zenye hadhi
- pendelea kutembelea mafunzo ya real estates;huku utawapata wale wanawake warembo wanaotaka kujifunza namna ya kuendesha biashara ya mijengo
- jiunge na gym za maana
- jiunge na vituo vya kufundishia lugha za kigeni;huku utawapata warembo wanaotaka kujifunza lugha za kigeni ili waweze kufungua makampuni sehemu husika
- jiweke fiti kwanza kwa mazoezi,push up hamsini asubuhi na pushup hamsini jion;hii itakuweka katika shepu fulani ambayo ina mvuto wa aina yake
- jiweke sop sop sio lazima ununue nguo za bei ghali hata za mtumba poa
- jifunze utaalamu mdogomdogo kama kufix engine ya gari,kurepair electronic equipments hii itakufanya uwe multi talented etc