Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za Leo wana JF ni muda mrefu umepita sijaandika hapa. Katika harakati za maisha nimekuja kukutana na binti mrembo sana na ninampenda mno. Changamoto niliyonayo ni kwamba wakati tunafanya...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Penzi huwa halidondoki na kufa ghafla kama mgonjwa wa degedege na beriberi, penzi huwa linakufa kwa process zinazoonekana lakini zinazodharaulika. Dalili za penzi linalotaka kufa huwa ni kama...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
MAANA YA BAADHI YA MANENO AMBAYO WANAWAKE HUTUMIA. 1. Sawa bwana (fine) "Sawa" ni neno ambalo hutumiwa na wanawake kumaliza mabishano na mpenzi wake. Wakisema hivyo ujue wanahitaji mwanaume...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwanza kabisa salamu kwenu nyote. Poleni na mihangaiko na kaz pia.Binafs ni kijana wa kiume mwnye umri wa miaka 28.Pia nimeajiriwa katika kampun xx hapa mbeya mjin na namshukuru mungu nina mtoto...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Salaam, Kwanza niseme kuwa hili ni jiwe la gizani, na yeyote litakayemtwanga atulie kimya. Kipindi cha nyuma kidogo kulikuwa na harakati nyingi sana za kuwasema na kuwakebehi akina mama mkwe...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Eti watu wakiwa na dhiki, shida matatizo na mahame huwa wanazaa watoto wa kike? Kama kuna ukweli hii inatokana na nini? Huu ni msemo wa mzee wangu je una ukweli?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
1.lnbox empty hata sms za voda hana 2.Kama mko karibu na anachati hutumia jicho la wizi kukutazama 3.Akiwa anachati utamuona anakuuliza vimaswali vya hapa na pale lengo ni kuathiri utafiti wako...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi. Mkienda kupiga show...
16 Reactions
85 Replies
9K Views
.................................................. Upendo ni neno la kawaida sana kutumika vinywani mwetu katika maisha ya kila siku. Neno upendo lina maana kubwa sana pengine ni tofauti kabisa na...
3 Reactions
7 Replies
19K Views
Wanasema ili kutoa furaha lazima uanze na wewe mwenyewe, unajipaje furaha bila kumtegemea mpenzi wako?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao Daah, inanisikitisha sana Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi Urudishe izo fadhira kwake...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya...
9 Reactions
248 Replies
24K Views
Some lemonade
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Ya
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Basi naiwe amani na furaha wana-JF wenzangu, Andiko hili liwe hekima kwa wenye hekima, nuru kwa waliovipofu na liwe ukungu kwa wapumbavu, watu wasiojua umuhimu wao wenyewe. Basi umshukuru Mungu...
2 Reactions
9 Replies
33K Views
Mchumba wangu wa kike anauza duka maeneo flani hapa mjini. Ni wiki mbili tu tangu nilipomtambulisha kwa wazazi. Jana saa saba na dakika 10 mchana nikamtumia meseji ya kawaida, hakujibu. Ilipofika...
3 Reactions
78 Replies
6K Views
Nilikuwa na soma huko tumaini nilipata demu mzuri kiasi ila kiumbo alikuwa poa. nikasema sio vibaya mi kujikinga na katoto ka landlord nikakatokea hakakukubali bali kaliniambia tendwe hivyo hivyo...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau, Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashirikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzi anaruka hatari. Nilishaamua mpaka kutembea na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Hello, I'm looking for a woman who isn't all about games and at-least has something going for herself. Someone who is respectful, has morals and values, someone that just basically is...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom