Fahamu uchawi na ulozi katika mapenzi

Ndo mana niko mwenyewe... sitaki shida na mashinikizo (pressure) ya kujitakia.
 
Unatishwa na maandishi? Ukitengeneza uhalisia wa kila kitu hata chumbani hutatoka....utekelezaji wa hayo mambo mpaka yalete effects sio jambo rahisi kabisa
 
wanasema jihadhari kabla halijakufikia
 
Kuamini uchawi ni matokeo ya hofu tu. Kifupi hizo hadithi zenu ni uzoba tu. Hakuna uchawi wala kurogana. Nashangaa watu wanaishi kwenye hofu daily........lini mtakuwa huru?

Kama wewe ni mchawi bingwa niroge mimi
 
Ww nkifunya short assesment ww hauko kwenye dini wala ulozi ukipigwa tu inakuwa gemu la brazil na ujerumani
 
Uchawi wa kweli katika mapenzi umegawannyika sehemu mbili tu hayo mengine yote mbwembwe tu. Kwanza ni mwanaume kuwa na kipato(hela) na kumjali mwanamke na pili ni mwanamke kumuheshimu na kumnyenyekea mwanaume wake fullstop!
 
Huu ni rahisi zaidi na valid kuliko wa client
 
Mchawi Pesa tu. K Liny na U Miss Tz ametulia kwa Babu Wa kichaga.
 
Back
Top Bottom