Habari za wakati huu wanajf ....!
Niende Moja kwa moja kwenye point:-
Mimi ni kijana Nina miaka 20 pia Nina mpenzi tatizo:-mimi kwenye swala zima la sex sijawahi kuridhika je nina tatizo..??
Changia mawazo yenye kujenga na kama huna cha kuchangia ni usipost ki2 niko serious na hilo limekua tatizo kubwa sana kwangu