Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni kuwa asilimia 80 ya wadada wengi ukishaanzisha nae uhusiano nae kitu cha kwanza anachofanya ni kukutangazia shida zake uweze...
Mwanamke umbea kusutwa sunna jamani vitu vingine tunajitakiaga wenyewe.
Kuna mdada mmoja ni mwalimu wa primary. Huyo dada anaishi na mdogo wake wakike darasa la sita ambae anasoma hapohapo katika...
Habari wana MMU, nina rafiki yangu mwenye jina la J kwa sasa yupo mkoni huko. Aliyonifanyia sikuamini.
Mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa akisoma chuo fulani ambacho kipo Mbeya kwa sasa...
UNAKULA UJANA NDIO, LAKINI CHUNGA SANA MAMBO YAFUATAYO USJE JUTIA MAISHA YAKO YOTE.
Share Elimu Hii ya Bure.
Wakati wa ujana ndio wakati ambao watu wengi wanajaribu mambo mbalimbali. Sio kitu...
Imezoeleka kwa watu wengi wake/waume ,kujikuta mtu anaeleza mambo yake ya nyuma.
Mfano utakuta mtu anakwambia; "mimi usinione hivi Nishapuyanga sana saivi nimeamuwa kustafu,au nishatembea na...
Wakuu habari za weekend?
Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada.
Maisha ya upweke yamenichosha sana...
Binti aliyekuwa muchumba wangu zamani kaenda kuchonga kwa muchumba wangu ati tuachane na amefanikiwa kanibwaga kwel.Jamani mabinti mmekuwa chanzo kikubwa kwa kuharibu mahusiano mengi sababu ya...
Habari zenu wana jukwaa wakubwa shikamooni.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22.Nimwanachuo mwaka wa pili. Nimetokea kwenye familia yenye uchumi wa Kati, sijabahatika kulelewa na wazazi wote...
Nimeishi maisha mengi nimeona mengi nimefanya mengi nimekutana na mengi. ......kuna watu wanaitwa wafujaji siwazungumzii hawa....kuna wabinafsi Chao Chao chako pia chao...kuna wabahili wanacho...
Ndugu zangu habari zenu.
Naomba niwaombe ushauri juu ya kilichonitokea........
Nilimaliza chuo miaka minne iliyopita. Kama unavyojua maisha yanavyokuwa magumu mtaani baada ya maisha ya chuo...
Habari wanajamvi,
Maoni yenu na ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kwenye hili;
Mimi nimeajiriwa nafanya kazi na kulipwa mshahara wa hali ya kawaida. Sio mdogo na wala sio mwingi bali...
Darasa ni popote jamani kuna watu wanaishi na hawa Dada wa kazi kama ndugu zao au Mara nyingine kwa haraka haraka waweza dhania ni mtoto wa hapo hapo,wengine wanakaa na hawa watu mpaka...
Habari za jioni wakubwa kwa wadogo,
Ndugu zangu nimekuja kwa mara nyingine naomba msaada wenu, msaada wa ushauri mzuri.
Naomba nianze nyuma kidogo, naishi Dar es Salaam, nina mke na watoto...
Salamu wana JF,
Nimeamua kuja kupata maoni yenu wakuu kuhusu hili jambo ambalo linanikereketa moyoni.
Ni hivi waungwana, niko kwenye ndoa na mke wangu karibia mwaka wa pili huu. Nakaa mji wa...
1. Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu
2. Mkanye mtoto wako wa kike kuhusu kukubali...
habari zenu!!!
Ameoa miaka mi3 iliyopita na kabla ya hapo alibahatika kupata watoto watatu kutoka kwa wanawake tofauti....tatizo alilonalo kwenye ndoa yake hii ni mke wake kumkimbia baada ya...
Wanajamvi,
Heri ya mwaka mpya!
Kitambo sana sijaingia huku kutokana na pilika za hapa na pale. Twende kwenye hoja.
Nitajaribu kufupisha maelezo kama nitaweza ili nisiwachoshe.
Kuna binti mmi ni...
Kama mtakumbuka nilwahi kuwaambia ya kwamba kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa mmoja hivi ambae alishinda na hatimae mzee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.